Tupo Nawe

Nandy aibukia Kenya, waachia video ya wimbo wao Hallelujah’alioshirikiana na Willy Paul – Video

Msanii wa muziki, Willy Paul kutoka nchini Kenya ameachia video ya ngoma mpya akiwa na Nandy aka African Princes. Awali wawili hao walikutana kwenye wimbo Njiwa ambao ulifanya vizuri zaidi kwenye media pamoja na kwenye mitandao ya kijamii.

Wimbo huu mpya unajulikana kwa jina la Hallelujah uliofanywa na Producer Kimambo/SALDIDO INTERNATIONAL MASTERING ikifanywa na Producer kutoka Wasafi LAIZER lakini Video ya wimbo huo ikifanywa na A Trued Pictures kutoka nchini Kenya.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW