Habari

Nandy akingiwa kifua na DC Kasesela, apewa tahadhari kwenye muziki wake (Video)

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Edward Kasesela amefunguka kwa kudai kwamba muimbaji Nandy hapaswi kutukanwa kisa video yake ya utupu bali anatakiwa kupewa moyo kwa kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii walioathiriwa na mitandao ya kijamii. DC huyo amewataka wasanii kulinda brand zao huku akidai jambo alilofanya muimbaji huyo huwenda likawafanya mashabiki wasimuelewe kabisa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents