Burudani

Nandy arudi upya na Ninogeshe iliyoandikwa na Aslay, isikiliza hapa

Baada ya kuingia kwenye msukosuko wa kuenea kwa video yake ya utupu, mrembo Nandy aka African Princess ameachia wimbo wake mpya inayoitwa ‘Ninogeshe’. Ngoma hiyo imeandikwa na Aslay imetayarishwa na Ema The Boy.

Hata hivyo mrembo huyo akiongea na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, amesema kuna version ya pili ya ngoma hiyo ambayo pia Aslay ndio atasikika.

Nandy ameongeza kuwa video ya wimbo huo imefanyika hapa hapa nchini hakufikiria gharama za nje na hata hivyo angeenda uhalisia wa ngoma hiyo usingepatikana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents