Burudani

Nandy mbioni kulamba dili lingine, afanya show mbele ya wafanyakazi wa NCBA (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nandy usiku wa kuamkia leo alipata nafasi ya kufanya show mbele ya wafanya kazi wa NCBA wakati makampuni mawili yakiungana yaani benki ya NIC na CBA na kutengeneza NCBA.

Mbali na kufanya show hiyo alipata nafasi ya kuongea Mkurugenzi wake ameongea Katika hafla yabenki hiyo iliwakutanisha wafanyakazi wake wa mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam, Arusha na Zanzibar kwa ajili ya kutambuana na kufurahi pamoja.

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi wa Wateja wakubwa, wadogo, binafsi na wateja wa kati, Gift Shoko amewaomba wafanyakazi hao kufanya kazi kwa upendo, juhudi na maarifa ili kufikia mafanikio makubwa ya benki hiyo.

https://www.youtube.com/watch?v=0OAFznUdcJI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents