Videos
Nandy na Harmonize wakutana kwenye ngoma moja ‘Acha Lizame’ (+Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nandy ameachia video ya ngoma yake mpta ‘Acha Lizame’ aliyomshirikisha Harmonize. Ngoma hiyo imefanywa na Producer Kimambo huku video ikifanywa na Director Elvis