Burudani

Nani alipendeza zaidi kwenye red carpet ya MTV MAMA? (Picha)

Vilikuwa ni vita vya fashion kati ya mastaa wa Marekani na Afrika waliokutana kwenye red carpet ya tuzo za MTV MAMA, Jumamosi iliyopita. Lakini ni nani alipendeza zaidi?

11221616_397435030458772_6318290804167845744_o
Mshindi wa tuzo ya Best Live Act, Diamond Platnumz

11713694_397435620458713_1473135506175353671_o
Vanessa Mdee alikuwa akiwania tuzo ya Best Female Act iliyoenda kwa msanii wa Nigeria, Yemi Alade

10506995_397434907125451_5057091233063774162_o
Msanii wa Afrika Kusini, Bucie

11412052_397436000458675_6585431594506076246_o
Muimbaji wa Marekani na mmoja wa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo, Jhene Aiko

11731712_397435083792100_2637460072936816651_o
Mshindi wa tuzo ya Best Female Act, Yemi Alade

10668969_397435963792012_2215287799862213253_o
Mshindi wa tuzo ya Best Male Act, Davido
11224336_397435583792050_664550616165739821_o
Wasanii wa kundi la P-Square, Peter and Paul Okoye

11227932_397435630458712_3983754624984792928_o
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest
11731674_397434903792118_8090010508911901382_o
Host wa tuzo hizo, mchekeshaji wa Marekani, Anthony Anderson

11754774_397435580458717_8537591890209257668_o
Mrembo wa Afrika Kusini, Boity Thulo

11752472_938850749520441_2173484715556943155_n
Cassper Nyovest na Boity

11741161_397435230458752_8839479528666384357_o
Msanii wa Uganda, Bebe Cool
10499469_397435363792072_3700399458393972618_o
Rapper wa Afrika Kusini, AKA

10504882_397435800458695_5302917792441241090_o
Msanii wa Nigeria, Patoranking

905790_397435567125385_625280035094372989_o
Rapper wa Nigeria, Phyno

11703471_397435243792084_1155093049051822900_o
Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi

11741004_397435233792085_8105269184153637054_o
Muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo

11412052_397434900458785_2662399788042140572_o
2 Face

11741272_397435077125434_8629234531290599045_o
Rapper wa SA, KO

11745405_397435997125342_5839360490240417579_n
Kundi la Kenya, Sauti Sol

10380514_397435220458753_8646959595534849492_o
Msanii wa Ghana, Stone Bway

1800271_397435817125360_7934572045216866570_n
11105180_397435387125403_7173850868904542623_o
Rapper wa SA, Khuli Chana

11112900_397434890458786_2128068142134019742_o
Rapper wa SA, Ricky Rick

11222619_397435803792028_4830568313895223470_o

11709856_397435553792053_2867035579965241609_o
Mrembo wa SA, Pearl Thusi

11713687_397435373792071_7866277818285409928_o
Rapper wa SA, Da Les

11754879_397435377125404_2672287128728806496_o

11779777_397435397125402_6621199018583248916_o
Msanii wa Nigeria, Seyi Shay

11779877_397435823792026_3177473628540426399_o
Mkurugenzi wa Viacom International Media Networks Africa,Alex Okosi

11754883_397435607125381_7900709890187441648_o
Msanii wa Nigeria, Flavour

Picha: MTV Base

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents