Nani Zaidi?

Nani Mkali Zaidi?
Pamoja na kuwa ma-MC wakali hapa Bongo Mwana FA na AY ni marafiki wa karibu na wametoka mbali sana, sasa tunataka wadau wetu mtuambie nani mkali zaidi katika ku-RAP kati ya Mwana FA na AY?

Wote wawili wana nyimbo kali, na pia wameshirikiana katika nyimbo mbali mbali ambazo zimefanya vizuri sana.

Kazi kwenu wadau!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents