Burudani

Naogopa mwanangu asishuke kimuziki – Mama Diamond

Mama yake mzazi na Diamond, Sanura Kasim amesema kitu kinachomkosesha raha siku zote ni kuwaza itakuaje kama mwanae akishuka kimuziki!

IMG_1155

Ameiambia Bongo5 kuwa kama mama mara nyingi anakuwa na wasiwasi juu ya maisha ya mwanae.

“Muziki una changamoto sana kama hujakaza unaanguka,” alisema. “Nakuwaga na wasiwasi mwanangu kama akishuka! Kwa sababu washindani wapo wengi, unajifiria mwanangu sijui vipi mwaka huu? Maana kila siku kwenye magazeti ni majungu kibao kuhusu yeye na mimi. Kama mzazi nakuwaga na wasiwasi sana na mwanangu,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents