Napata wakati mgumu kupata mwanamke wa kuoa Bongo – Juma Sharobaro

Juma Sharobaro amefunguka kwa kudai kwamba atachelewa kuoa nchini Tanzania kutokana wasichana wengi ambao anakutana nayo wana inye kubwa kitu ambacho haendani nacho.

Juma amedai akipata Mtandania ambao atakuwa ‘kipotabo’ basi atafunga naye huku akidai kwamba huwenda mama yake amkataa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW