Aisee DSTV!

Nape atinga Ikulu kumuomba msamaha Rais Magufuli, Yaelezwa alivyomsumbua kwa njia ya meseji ‘Kaenda hadi kwa Mama Nyerere’ (+video)

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye leo Jumanne Septemba 10, 2019 amemtembelea Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar Es Salaam, Na kumuomba msamaha Rais Magufuli kufuatia sauti yake ya mazungumzo kwa njia ya simu kuvuja mtandaoni.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW