Aisee DSTV!
SwahiliFix

Nas kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii, Kanye West aweka wazi ngoma zitakazokuwepo

Nas is back. Rapper huyo mkongwe anatarajia kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii.

Kubwa zaidi mtayarishaji wa albamu hiyo ni Kanye West na ameweka hadharani kupitia mtandao wa Twitter orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu hiyo ya Nas.

Albamu hiyo itakuwa na ngoma saba kwa mujibu wa Kanye. Hii itakuwa albamu ya 11 kwa rapper huyo ambaye amekuwa kimya tangu alipoachia album ya “Life is Good” iliyotoka Julai 17, 2012.

Hii ni orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu mpya ya Nas.

1. Everything
2. Bonjour
3. Not For Radio
4. Adam And Eve
5. Simple Things
6. Cops
7. I Can Explain

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW