Burudani

Nas kuachia albamu yake ya 11 mwaka huu

Baada ya kupita miaka mitano tangu ilipotoka albamu ya ‘Life Is Good’ – Nas amepanga kuachia albamu yake mpya mwaka huu.

Rapper huyo amethibitisha kuachia albamu yake hiyo ya 11 wakati alipokuwa akifanya mahojiano na Billboard.

Nas aliulizwa swali, “expect this album before the year is over?” Naye hakusita alijibu kwa kusema, “For sure.”

Albamu nyingine alizowahi kuziachia rapper huyo kutoka mjini New York ni Hip Hop Is Dead, Greatest Hits, Street’s Disciple, God’s Son, Greatest Hits, Untitled na nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents