Burudani

Nasema Nawe: Hakuna msanii anayeweza kuimba mduara kama mimi – AT

Msanii wa Bongo Flava na muziki wa Mduara kutoka visiwani Zanzibar, AT anaamini hakuna msanii Tanzania anayeweza kufanya mduara kama yeye!

IMG-20150421-WA0000

Kupitia Instagram, AT amesema, “Nasema hivi hakuna Msanii atatokea kupita njia nnayopita kakika kuimba Mduara wala Hakuna video Ya Mduara itakayofunika Sijazoea kwa ubora wa Pc na Muonekano wa uzuri hii wiki ndio ntaifyatua Hewani Mjipange upya.”

Unahisi AT ‘Anasema’ na Diamond?

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents