Burudani ya Michezo Live

Nash Mc, amalizia Video yake

One_Nash

Mwanamuziki wa Bongo fleva Mutalemwa Jason ‘Nash Mc’, hivi kaaribu alikuwa akimalizia video ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nimeizindua mitaa’ Alisema katika wimbo huo amemshirikidsha, One na Sterio ambao kwa pamoja wameshirikiana na kuufanya kuwa wimbo wa aina yake.

Wasanii

Prudyuza aliyetengeneza wimbo huo ni Ibra wa Face’s Picture Production. Nash Mc, amesema wimbo huo utakuwa miongoni mwa nyimbo zake atakazo zitoa, katika albamu atakayoitoa hivi karibu.

chora
Nash Mc akitengeza Radio kwaajiri ya kuanza kazi, ya kurekodi wimbo wake wa ‘Tunaizindua Mitaa’ kwenye video

Ibra

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW