Habari

Nasikitishwa sana na uvumi unaosambazwa juu yangu – Dkt Kikwete

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa sana na uvumi wa maneno yanayosambazwa juu yake katika mitandao ya kijamii.

Dkt Kikwete ametumia ukurasa wake wa Twitter leo huku akisema kuwa ana sikitika kuwa kuna watu timamu ambao wanaamini uzushi huo.

Nasikitishwa sana na uvumi huu unaosambazwa juu yangu.Inasikitisha sana. Inasikitisha zaidi kuwa wako watu timamu wanaoamini uzushi huu

Tazama tweet:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents