Michezo

Nasir nje Mwezi Mmoja.

 

Arsenal imekumbwa na balaa la majeruhi baada ya kuumia goti kwa Samir Nasri ambaye atakua nje ya uwanja kwa  muda wa takriban wiki nne.

Kiungo huyo aling’ara kwenye mechi za majaribio za timu hiyo na alifanya kazi kubwa kwenye mechi na Liverpool.Atafanyiwa operesheni ndogo kufuatia kuumia kwake timu hiyo ilipofungana 1-1 na Liverpool juma pili iliyopita.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents