Nasty C atimiza miaka 21

Msanii Nasty C ambaye anatamba kwa hits mbalimbali, alisherekea siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 21 siku ya jana jumapili.

Ingawa nyimbo zake huleta amsha amsha, Nasty C alikuwa mnyenyekevu wakati akisherekea siku muhimu sana kwake.

“Been getting this much love all day. Thank y’all,” aliandika hivyo katika akaunti yake ya Instagram.

Cheni ya dhahabu, nguo za bei chafu na magari ya kifahari ndio jinsi anvyoonekana msanii huyo alipo timiza miaka 21.

Naam, kama huo ndio muonekano unapo timiza miaka 21, basi maisha ya msanii huyu yatajawa na staili hiyo.

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW