Burudani

“Nataka kufanya colabo na Alikiba Diamond na Rayvanny, Samatta alinialika Genk nikatangaze utalii lugha ilikuwa tatizo” – Moran (+ Video

"Nataka kufanya colabo na Alikiba Diamond na Rayvanny, Samatta alinialika Genk nikatangaze utalii lugha ilikuwa tatizo" - Moran (+ Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayefanyia kazi zake nchini Marekani @morani_tz amefunguka mengi sana kuhusu mwenendo wa muziki wake na dhumuni la kuamua kujiingiza kwenye tasnia ya Bongo Fleva.

Akiongea na waandishi wa habari @morani_Tz ameeleza kuwa lengo lake ni kufanya muziki wa Intenational na ndio mana yuko kwenye mazungumzo na AKON ili watoe ngoma. @morani_tz pia amewashauri wasanii wenzake kuacha kuiga sana muziki wa Nigeria na kama watashindwa sana basi waige hata muziki wa Marekani. Mbali na hilo @morani_Tz ameamua kuachia video ya ngoma yake mpya NAKUULIZA aliyoifanyia MJ Record kwa @marcochali

Kama bado hujaiangalia Interview yetu na Dogo Janja hakikisha unaitazama hapa chini.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents