BurudaniUncategorized

Nawashangaa mnaonifananisha na used – Ebitoke

Mchekeshaji kutoka Timamu African Media, Ebitoke baada ya kutangaza anamuhitaji msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol katika mahusiano ya kimapenzi, leo ameibuka na kioja kingine.

Ebitoke

Ebitoke ambaye amekuwa akitoa vichekesho mbali mbali kupitia mitandao ya kijamii, ametoa kauli ambayo imetafsiriwa kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote.

“Nawashangaa mnaonifananisha na USED, mimi niko SEALED jamani,
#Hatufanani thamani yangu ni kubwa kuliko make up za kichina,” aliandika Ebitoke Instagram.

Baadhi ya mashabiki wake wamechukulia jambo hilo kama utani, wengine wakimpongeza, huku wengine wakibeza kwa kudai amejishusha kusema hivyo.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents