Burudani

Nay wa Mitego aachia bomu lingine ‘Alisema’, amtaja Akwelina, Rais Magufuli na hali ya uchumi nchini (+video)

Rapa Nay wa Mitego ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ALISEMA, kwenye mashairi hayo kazungumzia viongozi wa kisiasa akiwemo Rais Magufuli, hali ya uchumi na mwanafunzi Akwelina aliyeuawa kwa kupigwa risasi mapema mwaka huu. Enjoy!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents