BurudaniMuziki

Nay wa Mitego aachia ‘Moto’, Alikiba, Ruby, Young Killer na wengine watajwa

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Moto’. Rapa huyo ameendelea na nyimbo zake za kuwachana baadhi ya wasanii ambapo ndani ya wimbo huu uliotayarishwa na producer Awasome ametajwa, Alikiba, Baraka The Prince, Nandy, Ruby pamoja na wengine.
https://youtu.be/t19V0W0-Y-g

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents