DStv Inogilee!

Nay wa Mitego achafua hali ya hewa na wimbo Michano ‘BongoFleva sio Bongo Movie wadangaji’

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego wiki hii amerudi upya na wimbo zake ambazo huwaga zinazua taharuki mitandaoni kutokana na kuwachana watu. Safari ameachia wimbo Michano ambao ndani yake wamewachana watu mbalimbali pamoja wasanii wa filamu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW