Burudani
Nay wa Mitego aeleza sababu ya kumchana Dudu Baya na Ben Pol kupitia wimbo ‘Ipo Sawa’ (Video)
Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na Wimbo “Ipo Sawa”amefunguka kuwazungumzia mastaa mbalimbali aliowataja mwenye wimbo huo ambayo unatrend mitandaoni.