Habari

Nay wa Mitego aja na ‘Ipo Sawa’, Amchana Ben Pol, Aslay, Wema, Dudu Baya, Dogo Janja na Ommy Dimpoz (+Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Ipo Sawa’ aliyotengeneza katika Studio zake za Free Nation Records chini ya Ma-producer wawili Bin laden na True name.

Kwenye wimbo huo huo, Nay wa Mitego amewataja hadharani baadhi ya waigizaji na wanamuziki wenzake kwa kile alichoamini kuwa wanakosea huku wengine akieleza kuwa wamebweteka kwenye gemu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents