Burudani

Nay wa Mitego ana mpango wa kuongeza mtoto wa nne

Nay wa Mitego bado ana hamu ya kuiongeza zaidi familia yake.

11325913_680549942091837_1778144082_n
Nay wa Mitego akiwa na watoto wake, Munie pamoja na Curtis

Rapper huyo mwenye watoto watatu amesema ana hamu ya kupata mtoto wa nne.

“Suala la uzazi wa mpango nalizingatia sana. Sasa hivi nina watoto watatu bado mmoja tu. Unajua hutakiwi uzae watoto wengi halafu waje kushangaa tu bila msaada,” amesema Nay.

“Mimi hawa wa nne watasoma vizuri kwa sababu tayari toka naanza maisha nilipanga kuja kuwa na watoto wanne.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents