Burudani
Nay wa Mitego: Mr Ttouch alisema wimbo ‘Mbele Kwa Mbele’ utoke kama ulivyo (Video)
Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego amefunguka kwa kueleza namna producer wake wa zamani, Mr Ttouch alivyohusika kwenye wimbo wake mpya ‘Mbele Kwa Mbele’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwenye kila media.