Diamond Platnumz

Nay wa Mitego na Diamond waingia tena studio kupika kitu!

Collabo yao, ‘Muziki Gani’ ilikuwa miongoni mwa ngoma zilizotamba zaidi miaka miwili iliyopita, hivyo ukiwaona wameingia tena studio, hakuna shaka kuwa hit nyingine ipo njia.

11007829_337568283110066_1757135824_n

Nay wa Mitego na Diamond Platnumz wameingia studio kwa mara nyingine kutengeneza wimbo pamoja.

Nay amepost picha akiwa na hitmaker huyo ambaye hivi karibuni alikuwa vekesheni visiwani Zanzibar na mpenzi wake Zari na kuandika:

You know how it is when these two Devils meet…. #Nightsession #BabaKijacho a.k.a #ShabaLanks a.k.a mpya hii.. @diamondplatnumz Kumekuchaaaaaa.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents