Muziki
Nay Wamitego aachia ‘Amsha Popo’ baada ya ngoma zake 3 kufungiwa na BASATA
Baada ya kufungiwa ngoma tatu na BASATA, Nay Wamitego ameachia wimbo mpua unaoitwa ‘Amsha Popo’. Wimbo huo umetayarishwa na Awesome (Osam) katika studio za Free Nation.