Soka saa 24!

Ndege mpya ya Messi balaa, ngazi zaandikwa majina ya watoto wake, mke na yeye mwenyewe bila kusahau namba 10

Nyota wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi amenunua ndege mpya yenye gharama ya pauni milioni 12 kwaajili ya kutumia katika safari zake akiwa sambamba na familia yake.

Lionel Messi has splashed out £12million on a new private jet for himself and his family

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina ataanza kuitumia ndege hiyo ya kifahari iliyotuwa ikiwa imetimia kila idara kuzunguka ulimwengu akiwa ramstarehe.

The luxurious interior is fitted with reclining chairs as well as screens at every seat 

Sehemu ya nyuma ya ndege hiyo imechorwa namba 10 ambayo huitumia pindi wapao uwanjani na ufito mweusi unaowakilisha Argentina.

The stairway to the plane has been engraved with the names of all the Messi family

Ngazi za ndege hiyo zikiwa zimeandikwa jina lake, mke wake Antonela pamoja na watoto wake watatu ambao ni  Thiago,  Ciro na Mateo.

The 31-year-old came off the bench on Tuesday night during Barcelona's draw with Spurs 

Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari ndege hiyo imekuja ikiwa inaidadiya jumla ya viti 16 ambavyo vinauwezo wa kuvigeuza na kuwa vitanda nane pamoja na vyumba viwili vya bafu sambamba na majiko mawili.

Messi aliingia kipindi cha pili wakati Barcelona ikitoka sare ya goli 1 – 1 dhidi ya Tottenham kwenye mchezo wa michuano ya Champions League hapo jana siku ya Jumanne.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW