Habari

Ndege ya Tanzania yaachiliwa Afrika Kusini, Dkt. Ndumbaro athibitisha ”Tunashangaa alijuaje hukumu hii itatoka dhidi yake”

Msemaji wa Serikali Tanzania, Dk. Hassan Abbas athibitisha kuwa Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru kuwa ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi. Tunawashukuru wote kwa uvumilivu wenu.

Image result for Ndege ya Tanzania Afrika Kusini

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dkt. Ndumbaro amtoa maelezo kuhusu kuachiwa kwa ndege ya Tanzania, iliyokuwa inashilikiawa nchini Afrika Kusini.

”Ilitoa maamuzi yake ya kuiachilia ndege ya Tanzania ambayo ilikamatwa hapa Afrika Kusini, na hoja zote ambazo ziliwekwa na mawakili wetu zilikubalika kwahiyo tulishinda kesi hiyo na ndege inaweza kuondoka.” amesema Dkt. Ndumbaro

https://www.instagram.com/p/B1-_00xB9ht/

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents