Habari

Ndoa ya Janet Jackson na mchumba wake Wissam Al Mana yanukia

Janet+Jackson+De+Grisogono+Party+65th+Annual+RCHAMzDGx2cl

Mwanamuziki mkongwe wa nchini Marekani Janet Jackson anatarajia kufungua ndoa na mchumba wake wa Qatar bilionea Wissam Al Mana mwakani. Habari zinadai kuwa wapenzi hao tayari wamechumbiana.

Kwa mujibu wa mtandao wa Us Weekly harusi yao itagharimu mamilioni kwakuwa bilionea huyo amepanga kuwasafirisha ndugu na marafiki zake Janet kwa private jets ili kuhudhuria harusi hiyo nchini Qatar.

Mtandao huo umesema pia kuwa pete ya uchumba aliyovishwa Janet ni kubwa na ya gharama kubwa na mara nyingi amekuwa akiiungua wa kuogopa kuwa ataipoteza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents