Soka saa 24!

Ndoa ya Shamsa Ford na Chidi Mapenzi yavunjika (Audio)

Kauli ya Shamsa Ford baada ya kuandika ujumbe unaoashiria kwamba ameachana na mume wake Chidi Mapenzi “Wewe si unajua kusoma Kiswahili na Kingereza?, basi ujumbe umeuelewa”. Bongo5 bado inafanya jitihada za kumtafuta mume wake huyo ili azungumzia sakata hilo.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW