Habari

‘Ndoa Yangu’ ya Kanumba yaibuka filamu iliyouza zaidi kwenye tuzo za Steps Entertainment 2013

Filamu ya mwisho ya marehemu Steven Kanumba, Ndoa Yangu aliyoigiza na Jacqueline Wolper, imeibuka na tuzo ya ‘best selling movie’ kwenye tuzo za kampuni ya Steps Entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam.

IMG_4760

Pamoja na tuzo hizo, marehemu Kanumba aling’ara kwa kupata tuzo nyingi zaidi kuliko waigizaji wote kwa kunyakua tuzo zingine mbili.

Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.

1. Best Director : Ray Kigosi (Women Of Principle)

ray

2. Best Actor: Jacob Steven ( Nakwenda Kwa Mwanangu )

3. Best Actress : Irene Paul

paul

4. Best Movie : – Kijiji Cha Tambua Haki

5. Best Selling Movie :- Ndoa Yangu

6. Best Best Story :- Nice Muhammed (Barmed)

mtunisy
Mtunisi akipokea tuzo hii kwa niaba ya wengine walioigiza kwenye filamu hiyo

7. Best Screen Play :- Ally Yakuti

8. Best Cameraman :- Zakayo Magulu

9. Best Sound :- Bharghasi Saidi

10. Best Editor : Timoth Conrady

11. Best Production House: RJ Production Company

12. Best Supporting Actor : Rado (I think I hate my wife )

_MG_8599
Rado

13. Best Supporting Actress: Riama Ally ( Tabu Ya kuolewana)

riama

14. Best Producer : John Lister

15. Best Comedian :King Majuto

majuto

16. Most Promising Actor : Niva

17. Most Promising Actress : Irene Paul

18. Best Child Artist : Jennifer

_MG_8667
Jennifer

19. Best Action Movie :Double J

20. Best Perfomance in a negative role : Mohammed Nurdin -checkbudi (Azma)

21. Special Jury Award : Jennifer Kyaka (odama)

21. Best movie on National Integration:Mwalimu Nyerere
steve

22. Best Movie for the development of culture & Language :Toba

23. Posthumous Awards :- Late:Kanumba, Late:Sajuki , Late:Sharobaro,Late:John

Picha: Bongomovies.com na Steps Entertainment website.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents