Burudani

‘Ndoto’ ya Jaguar kuachiwa kesho

Mbunge mpya kupitia Jimbo la Starehe nchini Kenya,  Charles Njagua Kanyi maarufu kama Jaguar ambaye pia ni msanii wa mziki nchini humo ametangaza kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Ndoto’.

Jaguar ambaye ni  Mbunge kupitia chama cha Jubilee Party, chama ambacho ametoka  Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta, anatarajia kuachia ngoma hiyo ya kwanza kwa maisha ya uongozi siku ya kesho.

” New Single Alert; #Ndoto
Its now close to two decades since I first set foot into a recording studio. I thank God for this gift that has over the years been an inspiration to millions of listeners in my country and beyond. I thank all those who’ve walked with me through my musical journey; My overwhelming fans, fellow musicians, producers, deejays, presenters, promoters, corporates. To assure you I will not quit on music. As I take oath of office to serve Starehe Constituents, I will also be releasing a new single tomorrow for my East African fans and the Diaspora. Song titled #Ndoto Produced by @mainswitchgroup,” ameandika msanii huyo katika mtandao wake wa Instagram.

Mwaka 2004 Jaguar alianza rasmi safari yake ya muziki kwa kuachia ngoma yake ya ‘Utaweza Kweli’ chini ya lebo ya Mandugu Digitali, msanii huyo anaingia katika orodha ya wanasiasa  wa Afrika Mashariki waofanya  muziki akiwemo Mbunge wa mikumi Joseph Haule(Professa Jay) na Joseph Mbilinyi(Sugu).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents