Michezo

Ndoto za Johanna Konta za zimwa China

Mchezaji tenis raia wa Uingereza mwana dada, Johanna Konta ameshindwa kutamba katika michuano ya wazi ya Wuhan nchini China baada ya kukubali kipigo kutoka kwa Ashleigh Barty katika mchezo wa raundi ya pili ya michuano hiyo ambayo aliamini angefanya vizuri.

Mchezaji tenis raia wa Uingereza mwana dada, Johanna Konta

Konta mwenye umri wa miaka 26, amekubali kipigo cha jumla ya seti 6-0 4-6 7-6 (7-3) kutoka kwa mwana dada mwenzake raia wa Australia, Ashleigh Barty.

Mchezaji tenis raia wa Australia, Ashleigh Barty

Katika michuano hiyo mwana dada raia wa China, Naye Peng Shuai ameibuka kidedede kwa jumla ya seti 7-6 (9-7) 6-7 (5-7) 7-6 (7-3) baada ya kumshinda, Petra Kvitova kutoka Jamhuri ya Czech.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents