Burudani

Ne-Yo ataja jina la albamu yake mpya (Video)

Baada ya Ne-Yo kuachia wimbo wake mpya wiki hii “Another Love Song,” muimbaji huyo wa Marekani amethibitisha kuja na albamu yake mpya.

Akiongea katika kipindi cha The Breakfast Club kwenye moja ya radio za mjini New York, msanii huyo amelitaja jina la albamu hiyo inayofuata ni ‘Good Man’.

“I’m calling it that because that’s what every woman wants and what every man should strive to be. You’re not born a good man. You gotta go through some stuff, let some things happen, in order to become a good man,” amesema.

“All the music on this album isn’t gonna be happy because I didn’t write just completely about myself. I felt like, if I just write it about me, how can it be relatable to anybody else? I’m definitely happy and in a great place, but I know that everybody isn’t,” ameongeza.

Albamu hiyo inatarajiwa kutoka mwezi Septemba ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents