Habari

NEC yajibu maswali uteuzi wa Wabunge 8 CUF (+Video)

Julai 27 mwaka huu, Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilipitisha majina ya wabunge wa Viti Maalum 8 wanawake CUF , kujaza nafasi za wale waliofukuzwa Uanachama, mara baada ya Tume kutangaza majina hayo ziliibuka hoja nyingi kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba tume haikufuata utaratibu.

Hivyo basi Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo, Bw, Kailima Ramadhani amesema kuwa Tume hiyo ilifuata taratibu zote ka mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni zilizojiwekea katika kusimamia taratibu za uchaguzi

video:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents