Picha

Nelly amweka hadharani ‘demu’wake mpya baada ya kuachana na Ashanti, unajua ni nani?

ntel6

Baada ya kupost picha za mafumbo kwenye akaunti zao za Instagram, inaonekana sasa mastaa hawa wameamua kuuweka hadharani uhusiano wao. Ni rapper Nelly na mpenzi wake mpya Tae Heckard ambao walikuwa pamoja kwenye club moja jijini Atlanta weekend hii.

ntel2

ntel8

ntel10

Kwa watazamaji wa video za muziki za Marekani mrembo huyu si mgeni kwani ameshawahi kutokea kwenye video kibao zikiwemo, “I Know What You Want” ya Busta Rhymes, Do You ya Ne-Yo, Your Love ya Nicki Minaj, Full Moon ya Brandy na zingine.

ntel2

ntel4

ntel7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents