Habari

Neno ‘Twerk’ laingizwa rasmi kwenye kamusi ya Kiingereza ya Oxford

Twerking, uchezaji wa kutikisa makalio uliotumiwa na muimbaji Miley Cyrus kwenye tuzo za MTV VMAs ni miongoni mwa maneno mapya yaliyoingizwa kwenye kamusi ya Kiingereza Oxford.

Miles-miley-cyrus-32441186-703-700
Miley Cyrus

Oxford Dictionaries Online imesema kuwa neno hilo limetolewa kwenye utamaduni wa hip hop culture, na katika kipindi cha miezi 12 limekuwa likitumika sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents