MuzikiUncategorized
New Audio: Ben Pol ft. Chidinma – Kidume
Mkali wa RnB Tanzania Ben Pol ameachia wimbo wake mpya wa ‘Kidume’ aliyomshirikisha mwanadada kutoka nchini Nigeria Chidinma. Ngoma hiyo imeandikwa na Ben Pol na kutengenezwa na Sheddy Clever.