Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

New Audio: Biorn Team – Tumewashtukia

Kundi jipya la Hip Hop Bongo, linalowakilishwa na Haudary Scoda, Gift Son , Papa na Brezy wameachia audio ya wimbo wao mpya ‘Tumewashtukia’ iliyotayarishwa na Papa wakati Mixed pamoja na meastered imefanywa na Yuddi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW