Muziki

New Audio: Chris Brown – Comfidence

Msanii wa muziki kutoka Marekani Chris Brown, ameachia audio ya wimbo wake mpya ‘Comfidence’ ngoma hiyo pia itapatikana katika albamu yake ya ‘Heart Break On A Full Moon’ inayotarajiwa kutoka Oktoba 30 mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents