Muziki
New Audio: Clinto B ft Chibwa – Kumekucha
Msanii wa muziki Clinto B ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Kumekucha’ akiwa amemshirikisha Chibwa. Wimbo huo umeandaliwa na producer Sam Touch kutoka Touchz Sound.