Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Audio: D-Shadow ft Dee One Ten – This Is How We Do

Msanii wa muziki wa hip hop, D-Shadow ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘This Is How We Do’ akiwa amemshirikisha rapa Dee One Ten. Wimbo huo umeandaliwa na producer Kitonzo kutoka studio za Shommy.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW