Muziki
New Audio: Diamond Platnumz – Sikomi
Ikiwa zimebakia wiki kadhaa kuumaliza mwaka 2017, mkali wa Bongo Flava Diamond Platnumz ameachia audio ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Sikomi’ isilikize hapa.