Muziki
New Audio: Diva Thee Bawse Ft. Mr. Paul & Mwana FA – Waambie
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm, Diva Thee Bawse ameachia audio ya wimbo wake mpya uitwao ‘Waambie’ aliyomshirikisha Mr. Paul na Mwana FA.Ngoma hiyo imeteyarishwa na Abbah (Instincts Rec) na ngoma imeandikwa na Tommy Flavour, Mr. Paul, Mwana FA pamoja na Abbah.