Muziki
New Audio: Dudu Baya – Dela
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya ameachia wimbo wake mpya Dela. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na producer Mr Ttouch chini ya studio.