New Audio: Dudu Baya – Nimeshasema

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Dudu Baya amefungua mwaka 2018 kwa kuachia wimbo mpya uitwao, Nimeshasema. Rapa huyo amesema mwaka huu atakuwa na kazi nyingi zaidi tofauti na miaka iliyopita.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW