Muziki
New Audio: Edu Boy ft Belle9 & Amber Lulu-Tunasafisha
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka mkoani Mwanza, Edu Boy ameachia wimbo wake mpya ‘Tunasafisha’ kupitia mkito huku akiwa amemshirikisha Belle9 pamoja na Amber Lulu. Wimbo umeandaliwa na producer, Mona Gangstar.
Kuusikiliza na kudownload ingia >>> Edu Boy ft Belle9 & Amber Lulu-Tunasafisha