Muziki
New Audio: Ibrah Nation Ft. Switcher Baba -Batani
Mkali wa RnB Bongo, Ibrah Nation ameachia audio ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Batani’ aliyomshirikisha Swicher Baba(Quick Rocka) audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na S2Kizzy katika studio za Switch Studio.